Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Tuesday, 27 June 2017

Harakati za Wenye Ulemavu Afrika;WAAFRIKA TUACHE KUWANYANYAPAA WENYE ULEMAVU Mwezi Juni 2017, tumeshuhudia mshindi wa tuzo ya kimataifa ya upigaji picha kutoka Tanzania.
Samwel  Mwanyika , mwenye Mtindio Ubongo (Down Syndrome) alipokuwa London kupokea tuzo, alikaribishwa na Ubalozi wetu jijini.
Baadaye alizungumza na "Kwa Simu Toka London"
Kilio cha wazazi wake kuhusu namna tunavyowanyanyapaa wenye ulemavu chahitaji kusikilizwa!

No comments: