Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Wednesday, 14 January 2015

Hongera sana kaka Isaac kwa siku kuu hii yako...Happy Birthday..!!!!!Siku Kama ya Leo kaka Isaac Isaac alizaliwa..
Hongera sana kaka Isaac kwa siku kuu hii kwako..
Nasi tunaungana pamoja nawe katika siku hii...
Mungu azidi kukulinda,Kukutendea,kukuonyesha njia,kukuepusha na majaribu yote,
Akujaalie miaka mingi yenye Baraka,Amani,Upendo,Furaha,Ushindi, Afya njema na Ufanikishe Ndoto zako.
Usipungukiwe na kicheko,Shuhuda,Shukrani,
Mafanikio yako yawe chachu na msaada kwa wenye kuhitaji.
Uendelee kuwa baraka kwetu na jamii pia.
Mungu ni mwema sana na tunajivunia kuwa nawe siku zote.
Tunakupenda sana na Mungu awe nawe Daima.
Wako;Rachel siwa,Sandra-Neema,Tracey-Sarah.
"Swahili Na Waswahili"Pamoja Daima.

3 comments:

emu-three said...

Happy birthday kwake mpendwa Isaac, twakutakia afya nje, na kila la heri katika maisha yako. Na pia tunakushukuru mpendwa ndugu wa mimi kwa kutufahamisha hili, ubarikiwe sana, TUPO PAMOJA

Yasinta Ngonyani said...

Natumaini sijachelewa sana...Napenda kukutakia kila la kheri katika kila utakalolitenda. HONGERA SANA KWA SIKU YAKO YA KUZALIWA!!!

Rachel siwa Isaac said...

Asanteni sana wapendwa Ndugu wa mimi@emu-three na da'Kadala....
Pamoja daima.