Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 5 October 2014

Tumalizie JumaPili hii kwa Amani;Burudani-Waswahili wakisifu kwenye Mkutano wa MWL.C.Mwakasege.[COVENTRY]


Wapendwa;Natumaini Jumapili Ilikuwa/Inaendelea vyema,muwe na Amani,Baraka,Upendo,Furaha,Shukrani na Utukufu Tumrudishie MUNGU.....
Basi kwa mtini jifunzeni mfano;tawi lake likiisha kuchipuka na kuchanua majani,mwatambua ya kuwa wakati wa mavuno u karibu;
Neno La Leo:Mathayo Mtakatifu:24:32-51
33;Nanyi kadhalika,myaonapo hayo yote,tambueni ya kuwa yu karibu,milangoni.
34;Amin, nawaambia,kizazi hiki hakitapita,hata hayo yote yatakapotimia.
35;Mbingu na nchi zitapita;lakini maneno yangu hayata pita kamwe.


 


"Swahili Na Waswahili"Mbarikiwe Sana.

No comments: