Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 21 September 2014

Tumalizie Jumapili hii Vyema;Burudani-Judy Jacobs - Days of Elijah (No God Like Jehovah) holy Ghost filled song,I will worship you(I exalt thee)......

Wapendwa;Tumalizie Vyema,Mungu azidi kuwatendea,Tusikate tama,Tuwe na tumaini,Tupendane na Tusaidie wenye kuhitaji......Mungu awe Mlinzi Wetu...

Aketie mahali pa siri pake Aliye juu, Atakaa katika uvuli wake Mwenyezi....

Neno La Leo;Zaburi;91:1-16

2;Nitasema, BWANA ndiye kimbilio langu na ngome yangu,Mungu wangu nitakayemtumaini.
3;Maana yeye atakuokoa na mtego wa mwindaji,Na katika tauni iharibuyo.

4;Kwa manyoya yake atakufunika,Chini ya mbawa zake utapata kimbilio;Uaminifu wake ni ngao na kigao.


 


"Swahili Na Waswahili"Muwe Na Wakati Mwema.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Nami naamini nawe pia umekuwa na wakati mwema kwa jumapili hii ya leo. Ahsante Kachiki!!

Rachel siwa Isaac said...

Mungu yu mwema Kadala wa Mimi..nilikuwa kule Leo ndugu yangu..Ahasante mno..wasalimie watu wangu hapo home..nime kumiss....nitakupigia tuongee vizuri.