Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 27 July 2014

Muendelee na Jumapili Vyema;Burudani-Angela Chibalonza - Yahwe Uhimidiwe na Nyingine...Na Siku Kama Ya Leo Bibi na Bwana Isaac Walifunga Ndoa [Happy Anniversary]


Siku kama ya Leo, Bibi na Bwana Isaac,[Isaacrachel]Tuliungana na kuwa mwili mmoja[Tulifunga Ndoa].
Tuna Mshukuru sana MUNGU katika yote na   tunazidi kujiachilia mikononi mwake.Si kwa uwezo wetu  wala akili zetu.ni Mapenzi yake/Kwa Neema tuu
.


Wapendwa; Natumaini Jumapili inandelea/ilikuwa njema,MUNGU azidi kuwabariki,Kuwainua,Kuwalinda,Kuwaponya,Kuwatendea,Kuwafariji,Kuwapa amani,Kuwapa Furaha,kuwaunganisha na Kuwafunulia.......

Ndipo Samweli akatwaa jiwe,na kulisimamisha kati ya Mispa na Sheni, akaliita jina lake Eben-ezeri,akisema, Hata sasa BWANA ametusaidia.

Neno La Leo;1Swamweli:7:1-17
Hivyo wafilisti walishindwa,wasiingie tena  ndani ya mipaka ya Israeli; na mkono wa BWANA ulikuwa juu ya Wafiristi siku zote za Samweli..........
"Swahili Na Waswahili" Mbarikiwe Wote.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

HONGERENI SANA KWA SIKU YENU YA NDOA ..SIJUI NI MIAKA MINGAPO?:-) PIA NAAMINI JUMAPILI ILIKUWA NJEMA SANA KATIKA FAMILIA YENU.

Rachel siwa Isaac said...

Asante sana da'Yasinta..KADALA wa mimi...18...