Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 25 May 2014

Natumaini JumaPili hii Inaendelea Vyema;Burudani-Emmy Kosgei-Asiyalasun,Jerusalem!!!!!!!Wapendwa;Natumaini JumaPili inaendelea Vyema,Iwe Yenye Amani,Baraka,Upendo,Rehema na Furaha..
Ndugu zangu,wengi wenu msiwe waalimu.Kama mjuavyo,sisi waalimu tutapata hukumu kubwa zaidi kuliko wengine.
Neno La Leo;Yakobo:3:1-18

Je,ni nani mwenye hekima na akili miongoni mwenu?Basi,aoneshe jambo hilo kwa mwenendo wake mzuri na kwa matendo yake mema yanayofanyika kwa unyenyekevu na Hekima.

Ulimi;1-12
Hekima itakayo juu mbinguni;13-18


"Swahili Na Waswahili" Pamoja Daima.

No comments: