Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Thursday, 10 October 2013

Mtu Kwao; kaka Tonny Samaka-Ana Haya ya Kusema!!!!


   Maneno ya  kaka;Tonny Samaka

Boom fc,ashanti,sharif star,forever fc,god lion,pentagon,barcelona,mkunguni fc,fildaus fc,dizonga fc,santa maria nk,popote ulipowahi kusikia kati ya hizo timu zinacheza iwe tmk,kino nk,ujue watoto wa ilala WANAWAKILISHA NA USHINDI NJE NA NDANI,i love ILALA bana!team#ILALA.

Wewe unasemaje?

"Swahili Na Waswahili" Pamoja sana.


2 comments:

Mhilu Kiluwasha said...

Nyumnbani ni nyumbani..kipindi kile wengi wao walikuwa wanacheza viwanja vya msimbazi (kanisani).. Ilikuwa ni burudani ya kitosha kabisha..nami niiuza askilimu na maji baridi..Kweli Mungu ni mwema, tumetoka mbali.

Rachel siwa Isaac said...

Umeona eehh kweli MUNGU ni mwema kaka MHILU....Duhh tumetoka mbaali sana.