Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 1 September 2013

Nawatakia J'Pili njema ;Tusifu na Kuabudu-Burudani-How Great Thou Art,Great is thy Faithfulness,To GOD be the Glory!!!!!!Wapendwa sina Maneno Mengi ni Kusifu na Kuabudu..MUNGU wetu ni Mwema Saana;[14]Zaidi ya hayo yote jivikeni Upendo,ndio kifungo cha ukamilifu.

[16]Neno la kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote,mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni;huku mkimwimbia MUNGU kwa neema mioyoni mwenu.

Neno La Leo;Wakolosai:3:12-17.Na kila mfanyalo,  kwa neno au kwa tendo,Fanyeni yote katika jina la BWANA  YESU,mkimshukuru MUNGU BABA kwa yeye.

"Swahili Na Waswahili" Mbarikiwe Sana.

4 comments:

EDNA said...

na wewe pia na familia, nilikumisooooo kweli mwanakwetu.

Rachel siwa Isaac said...

Asante sana mwanankwetu..Yaaani mimi pia nimekumisooooooooooo sana tuu..

Msalimie Shem wa mimi na kakake.

Yasinta Ngonyani said...

nawe pia na familia nzima mbarikiwe..

Rachel siwa Isaac said...

Asante sana KADALA wa mimi