Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 21 July 2013

Da'Sandra-Neema Atimiza Miaka 15..!!!!!!!
 Haleluya Nampenda BWANA kwa kuwa anasikiliza Sauti yangu na dua zangu.
kwa maana amenitegea sikio lake, Kwa hiyo nitamwita siku zangu zote. Neno La Leo;Zaburi:116:1-2
Wapendwa/Waungwana; Mungu yu mwema Binti Yetu SANDRA-NEEMA. Ametimiza miaka 15.Tunamshukuru sana MUNGU katika yote,Tunamuweka binti huyu mikononi mwako BABA waMBINGUNI. Akawe baraka kwetu na Jamii pia. Asante sana MUNGU kwa zawadi hii maishani kwetu.
 Asante na Mbarikiwe sana Ndugu,Jamaa,Marafiki na watu wote mliokuwa/mnaondelea  kuwa nasi katika Maombi/Sala,Malezi kwa namna moja au Nyingine.
MUNGU akawabariki watoto woote.. pia awajaalie wanaohitaji watoto. Tuna yaweka haya yote mikononi mwa MUNGU.AMEEN!!

Familia ya Isaac inawatakia J'pili yenye Amani,Upendo,Baraka na Furaha.
  
"Swahili Na Waswahili"  Pamoja Daima.
5 comments:

Anonymous said...

Happy Birth Day uncle!

Yasinta Ngonyani said...

HONGERA KWA SIKU YAKO YA KUZALIWA MWANANGU SANDRA. MWENYEZI MUNGU NA AKUBARIKI UWE MNYENYEKEVU, MSIKIVU NA MTII KWA WAZAZI WAKO. PIA HONGERA NYINGI KWA WAZAZI.

Mija Shija Sayi said...

Mwanawane hiyo table ilivyotokelezea yaaani!! Rachel una vipaji vingi kwa kweli.

Jamani Sandra kumi na tano tayari! UNI hiyoo...

Hongera sana mwanangu Mungu azidi kukulinda na kukupa hekima na afya njema uweze kumtumikia yeye vilivyo. Amen.

Rachel siwa Isaac said...

Thank u Uncle!!!

Ameeen..Ma'mkubwa KADALA...

Wazazi tunasema asante sana kwa yooote. KADALA.

Rachel siwa Isaac said...

Amen Amen ma'mkubwa Mija...

Asante sana dadake!!