Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Thursday, 17 May 2012

Watoto na Vituko;Pata na Burudani!!!!!!

Waungwana Mambo hayo, sina la kusema,Zaidi unayo wewe!!!!!!
Pamoja sana sana.Swahili na Waswahili!!!!!!!!

7 comments:

Ebou's said...

swahili hii ya leo kali duh!!!

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Ebon`s hakika swahili na waswahili leo kaamua kutuletea kali ..Ahsante kachiki:-) maana nimeungana nao si unanijua nikisikia ngoma/mziki tu basi:-)

Rachel siwa Isaac said...

hahahahhaaha'"Swahili Mwenza" kaka Ebou's Mkwe huyo mimi kama Shangazi nimeshampenda.

@Kadala hahahhahha sipati picha ulivyocheza.........

Wako Kachiki!!!!!

Simon Kitururu said...

:-)

Mtani said...

mmmmhhhh ... ngoja nisitie neno maana ni mambo mazito!

EDNA said...

Hahahaaa hiyo ni kiduku style

Rachel siwa Isaac said...

Sasa kaka wa mimi mbona hivyo?

@Mtani ya Kachiki Ongea tu hahaha!!

@Mwanakwetu umeona Kiduku ya nguvu!!