Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Thursday, 12 April 2012

Siku kama ya leo da'Victoria-Ruth Alizaliwa!!!!!!

Siku kama ya leo Bibi na Bwana Malonga wa Tanga,Walipata mtoto wa kike na wakamwita Victoria-Ruth.
Hongereni sana wazazi/Walezi na Mungu awabariki sana.


Hongera sana da'Vick-Ruth kwa kuongezeka,Mungu azidi kukubariki na kukulinda siku zote za maisha yako.
Uwe baraka kwa wazazi/walezi ndugu,jamaa ,marafiki  na watu wote wadogo kwa wakubwa.
Uwe na Wakati mzuri leo na siku zote.MUNGU NI PENDO.


Swali la Kizushi:Wapendwa eti watu wenye kutumia the,thatha badala se au sasa,Athante,ASante,walipokuwa watoto walinyonya vidole sana,walideka,walichelewa kuongea au.......


Karibuni Waungwana!!!!!!

4 comments:

Anonymous said...

Dadake nimechekaje mie...ila jibu la swali ni kuwa wanaoongea ivo waliandha kujifundha kiinglish mapema na walikua wataalam hahaha
Mamaaa sharoo

Rachel siwa Isaac said...

Tehtehtehtehehh, Asante mpendwa mama Sharooo kwa mawazo yako!!!!tusubiri na wengine wanawazaje!!!!

Anonymous said...

hongera dada Ruth kwa kuongeza kilometa mwanyezi Mungu akujalie kila lenyeheri na baraka na uwe na thiku nzuri.Thatha da Vicky wapi keki thatha

Yasinta Ngonyani said...

hongera dada Ruth kwa siku yako ya kuzaliwa!!