Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 22 April 2012

J'Pili iwe njema kwa Wote!!Burudani-Jehovah You are the most high God na-Igwe Midnighi Crew!!!!

Muwe na J'pili njema yenye Amani na Baraka.
Akawagawanyia Lea, na Rahel, wale vijakazi wawili,wana wao.
Neno la leo;Mwanzo33:1-11.
Pamoja sana katika yote Wapendwa.

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante kwa neno la leo. Nawe uwe na jumapili njema sana pamoja na familia pia na wengine wote watakaopita hapa.

Goodman Manyanya Phiri said...

Kofi and Crown of Glory oyeee! "Who said drums cannot praise the Lord?"

EDNA said...

Mimi nasema jumatano njema.
Alafu mwanakwetu mimi penda sana wewe salamia chemeji na wanangu.