Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Wednesday, 8 February 2012

Waswahili na Maisha yao -Nyimbo za Mipasho[Rusha Roho]!!!!!!!

Waungwana vipi kuhusu nyimbo hizi za MIPASHO,[RUSHA ROHO]Zinajenga au Zinabomoa?jee nahii michezaji vipi?kwani mpaka tukukatike na kugusana?jee hizi  ni Taarabu,Chakacha au ni Mitindo gani?Wenyewe wanaema meseji Send wewe unasemaje?Duuhh SWAHILI NA WASWAHILI AU VIPI? KARIBUNI SAAANA.

1 comment:

Anonymous said...

Nitangulize salam wakubwa shikamoo wadogo habari zenu,Da Rachel mimi naona kwenye kukata guno, kugusana ni moja ya mmomonyoko wa maadili yetu na sijambo la kufurahisha kwakweli kuona haya mambo yanafanyika hadharani,ila swala zima la ku send meseji hapo na waunga mkono haijalishi ni kwenye mnanda,taarabu au chakacha bwana wanajua kusend meseji,ukizindatia siye watu wamwambao mbona wana nipa burudani na Rusha roho, umenikuna kweli na rusha roho hizi.