Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Saturday, 14 January 2012

Siku kama ya leo kaka Isaac Alizaliwa!!!!!!

Siku kama ya Leo miaka kadhaa iliyopita, Kaka Isaac, babake  Sandra na Tracey,Mume ya MadameRachel-siwa,Alizaliwaaa!!!
Tunamshukuru sana Mungu kwa yote juu yako,Mungu akubariki na kukulinda kila inapoitwa Leo.
Akuongezee Miaka Mingi na Ufanikishe malengo yako.Uzidi kuwa Baraka kwetu na Kwa Watu wote.
 Tunakupenda saaana,Wako Rachel,Sandra,Tracey[ Rasca].


14 comments:

nounou said...

Ameen,mungu ambariki kaka yangu mpendwa,amkinge na vijicho ya watu .Da Rachel napenda spich yako .Mungu abarikiye ndowa yenu na awakinge nakila jambo ameen

Mija Shija Sayi said...

Hongera sana baba mwenye nyumba, Mungu azidi kuwa nawe wewe na familia yako, akuzidishie miaka mingine mingi yenye afya na furaha tele, ila Speech ya Madame Rachel haijitoshelezi..."umekamilisha miaka mingapi"??

Happy birthday shemshem.

mama sharobaro said...

GOD BLESS U MY LOVELY SHEM,CU LATER TULE KEKI PAMOJA HAHAHA

Yasinta Ngonyani said...

Afadhali umetimiza miaka na tumepeta kuiona sura yako. HONGERA SANA SHEMEJI mwenyezi Mungu na akulinde uwe na afaya njema ili uweze kuitunza familia yako. UWE NA SIKU NJEMA SHEMSHEM!!

mumyhery said...

Happy Birthday Kaka Isaac, twakuombea maisha marefu mema nyenye furaha na afya tele

Anonymous said...

Happy birthday shem mwenyezi Mungu akuzidishie kila lenye heri na baraka katika maisha yako na familia yako, tume furahia sana kuwa pamoja leo what a birthday cake ilikuwa tamu na msosi kweli nimeshibaje?

EDNA said...

Hongera sana shemeji,mungu na akupe miaka mingi duniani.

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Amen !!!

Swahili na Waswahili said...

Kwaniaba ya kaka Isaac,nasema Ahsanteni sana sana wapendwa kwa dua/sala zenu,Mungu atubariki sote sanaaa.

@da'Mija na da'Yasinta hahahahaaha, dada wa mimi wachokozi sanaa!!da'Yasinta kaka Isaac anasema si muda mrefu mtakutana LIVEEEEE,da'Mija kaka Isaac anasema eti wewe mzee mwenzie wakuuliza hivyo? tehtehteh mtakutana mitaa yenuuuuuuu.Pamoja wapendwa.

Goodman Manyanya Phiri said...

Hongera sana, Mr Isaac! YOU COMMAND A PRESENCE, MAN!

Mija Shija Sayi said...

hahahaha..!mi ndo kwanza sixteen kwanini kunizeesha?

jamani kumbe kaka Isaac ana vituko hivyo...kudadadeki nimelipenda jibu lake.

Mpe Hi.

Swahili na Waswahili said...

Hahahahaha da'Mija salam zimefika, naona wewe na kaka Isaac mnapishana na Uzee LOL...........
Mungu awabariki sana.

Yasinta Ngonyani said...

Ntafurahi kuonana naye...Mija unaukataa uzee pole sana :-)

Swahili na Waswahili said...

Pamoja da'Yasinta!!!!!!