Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Friday 8 February 2013

Ya Kale ni Dhahabu;Burudani(Congo-Soukous)Yondo Sister!!!!!!

   Hahahaahahaha ni wake za watu na ni  mama  za watu sasa....Mke wa Mheshiwa Mbunge alianza zamani kupigilia Suti!!!!!!!
Hahahahaha....Siku Hazigandiiiii mwehhh


Waungwana;Mambo hayo...kama kuna uliyemtambua hapo baelezeee..Tuambieee..


YOndooooo sister ................Tusindikizie Salamu Leo!!!!


Unayo yako/zako za zamani unapenda  kuungana nasi katika kukumbushana? tutumie kupitia email;rasca@hotmail .co.uk

Karibuni Woooteee....hahaaha .

"Swahili Na Waswahili"
Kwaheriiiiii

7 comments:

isaackin said...

enzi hizi aisee nilikua sina kitu kabisa.basi mjini jamaa aliekua na kideo kiingilio lazima ununue chai na donath ndo uingie.bouncer yuko mlangoni.daah nilikua natafuta tundu napiga chabo mkanda mwanzo mwisho.tumetoka mbaali

Yasinta Ngonyani said...

Kweli ya kale ni mazuri..na hapo juu kwenye picha upo nawe kachiki si ndiyo:-)

Rachel Siwa said...

hahaahahaha kaka Isaac tumetoka mbali si mchezo..vipi Baunsaaaa angekukamata?

KADALA unafikiri KACHIKI ni yupi hapo?

Yasinta Ngonyani said...

sijui huyo mwenye suti????

Anonymous said...

Aliefanana na mwanangu Tracey eti sasa mamaya mubena dadake hiyo ya juu yagauni jeusi ilikuwa kibinda nkoi nini?

emuthree said...

Kweli ya kale dhahabu,

Waijua hata mababu

kuipata ni thawabu.

Rachel Siwa said...

Anonymous..aliyefanana na Tracey yupi?..

Ndugu wa mimi naona mashariiiiiii hayooooo!

KADALA Sina hakika kama ni KACHIKI hUYO!!!