Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili,Pamoja Daima!![Tuache kuua Ndugu zetu kwa Imani mbaya;Hawa ni Wapendwa Wetu/Ndudu Zetu,Kuwalinda na Kuwatunza ni Jukumu Letu..!]#Tuache Kuua#Walemavu wa Ngozi#Tanzania.!!

Friday, 14 September 2012

Those Crazy East Africans-Stand up Comedy!!!!!!!!!!!Naomba niwaletee kwenu link ya Documentary interview iliyofanyike baada ya onyesho kubwa la vichekesho lililohusisha Even 
Bukuku na kundi lake la Vuvuzela akishirikisha wasanii kutoka Kenya na Uganda.


 http://youtu.be/j-BQHJnRfdA

Post documentary interview to the biggest ever Stand up Comedy Show of the Year 2011, happened at The Golden Tulip Hotel 
on FRIDAY the 16th December 2011 in  "Those Crazy East Africans" - Evans Bukuku and his Vuvuzela crew Featuring 
Comedians from East Africa: Mdomo Baggy from Kenya, Uncle Bob from Uganda & Evans Bukuku, Dogo Pepe and Songbird 
ENIKA from Tanzania!!!

Shukrani Sana.

Wasalaam
Emmanuel.

"Swahili NA Waswahili" Pamoja Daima.

No comments: