Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili,Pamoja Daima!![Tuache kuua Ndugu zetu kwa Imani mbaya;Hawa ni Wapendwa Wetu/Ndudu Zetu,Kuwalinda na Kuwatunza ni Jukumu Letu..!]#Tuache Kuua#Walemavu wa Ngozi#Tanzania.!!

Saturday, 18 August 2012

Chaguo la Mswahili Leo; Q chief-Si Ulinikataa,Ninachokipata,Wiper,Namtafuta Kule alipoooo!!!!!

Waungwana "Chaguo LA Mswahili Leo"Leo ni Mswahili Q CHIEf.
Vipi Nyimbo zake zinakubamba/unazipenda?Jee kunakitu unakumbuka kupitia Nyimbo hizi?

Twende soote sasa..Kosa langu kosa langu ni lipi baba? ulinikana Tangu tumboni, Ulimkana mama yanguu...Si ulinizaa wewe Ukanikataa sasa iweje unaona mi Nafaaaaaaaa.... Endeleaa...

Jee vipi kama mtoto alikataliwa na BABA Yake ni Vyema nae MtotoKumtosa/kumkataa baba au...Jee Ingekuwa Wewe Ungefanyaje?.
"Swahili NA Waswahili" Pamoja Daima.

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Huyo mwimbaji ananikumbusha au nisema huwa namfananisha na kadoda. Ana sauti nzuri na nazihusudu sana nyimbo zake...Na huu wa mwisho huwa unanifanya nitoe machozi...nilijua akina mama tu ndo wakatili kumbe...Ahsante kachiki.

Rachel siwa Isaac said...

Hahhaha kweli da'Kadala, haswa akiwa na Rasta.
Ukatili nafikiri dada yangu si maumbile au jinsia ni Tabia/roho ya mtu.
Pole kwa kukuliza huo wimbo,lakini nimekuwekea mmoja si wamajonzi ili ufutie Machozi@KADALA PAMOJA DAIMA.

Anonymous said...

Ebwana ile nyimbo yake anaimba haya mapenzi uliyonipa jana kesho ntarud tena dancehall tamu mamaa kesho nipe zaid ya jana jina lake inaitwaje?

james ng'ang'a said...

wimbo wenye hisia kabisa huu. Wamfanya mtu apatwe na huzuni na machungu anapojaribu kujiweka kwenye kiatu cha mwimbaji. Sauti yake nayo imenoga kwelikweli.