Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Saturday, 28 July 2012

Chaguo la Mswahili Leo; Kagera Mpoo? NgojaTatuNane Wawasaidie!!!!!

Waungwana "CHAGU LA MSWAHILI LEO" ngoja niwapeleke Kagera,
 wanakwambia Mapenzi Kizunguzungu...Nshomileeeeee........

Sina Mengi leo Uwanja wako.
 Unalolote kuhusu Burudani ya Leo?
 Jimwage sasa.

mimi siimbi Natifuka tuu Twende Sote sasa............."Swahili NA Waswahili"!!!!!!! Pamoja Daima.1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

mapenzi kizunguzungu ....halafu umeniwahi hizo nymbo mbili za kwanza...jumamosi njema kachiki:-)