Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili,Pamoja Daima!![Tuache kuua Ndugu zetu kwa Imani mbaya;Hawa ni Wapendwa Wetu/Ndudu Zetu,Kuwalinda na Kuwatunza ni Jukumu Letu..!]#Tuache Kuua#Walemavu wa Ngozi#Tanzania.!!

Saturday, 7 April 2012

MAMA KANUMBA AONGEA;Mmmmmhh Pole sana Mama!!!!!!

Mama Mzazi wa Kanumba.
Mmmmhh,Pole sana Mama,Mungu akutie nguvu.
Picha na Video,kutoka ;http://bukobawadau.blogspot.co.uk   Ingia hapo kujua zaidi.Ahsanteni sana.

3 comments:

Mija Shija Sayi said...

Pole mama na baba, Poleni ndugu, Poleni wasanii, watanzania na washabiki wote wa Kanumba kwa ujumla.

R.I.P Kanumba.

Yasinta Ngonyani said...

Pole sana mama Mwenyezi Mungu akutia nguvu kwa kipindi hiki kigumu. Pole wanafamilia wote na pia Tanzania kwa ujumla.

Anonymous said...

lucy;
pole sana mama kwa yale yote yaliyokupata kwa kuondokewa na mtoto wako wa pekee ww ulimpenda lkn mungu amempenda zaidi tumuombee mungu ampokee mwanae kwny mikono yake.poleni watanzania na ndugu kwa ujumla.
R.I.P KANUMBA.