Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Tuesday, 22 November 2011

Siku kama ya Leo dada Akhram wa Billy Alizaliwa!!!!

Siku kama ya leo Familia ya Bibi na Bwana Billy, Walipata mtoto wa kike na wakamwita Akhram!!
dada huyu ni mtu wakucheka wakati wote mpole na mwenye heshima,Si muoengeaji sana mpaka akuzoee sana,Nakuongea kwake uwe na muda ili mmalize hayo maongezi kwani ni taratibu mnoo,Ukiona kafunga mdomo bila tabasamu ujue NJAAA Kwenye sekta ya msosi ahaaa hana Tabu kabisa!!!Usikivu,samahani na kufanya vyema darasani kwake ni maisha  ya kawaida.
Mungu awabari wazazi na awape hekima katika Malezi yenu.


Swahili na Waswahili tunakutakia kila lililo jema mwanakwetu!!!!

3 comments:

Goodman Manyanya Phiri said...

Akhram, Mjomba wewe unazo akili nyingi. Lakini, haya mambo ya msosi... mara msosi tena... sijui hua unachang'anya na pipi nini?


Mbona meno ni historia ya zamani kama ile ya TANU "babu yake CCM"? Usijali lakini, Mjomba weee: yatawota mengine tu (Na hata bila meno yako yale yenye kuibiwa na panya, UMEPENDEZA KAMA MALAIKA KERUBI KAMA HIVI UANVYOTABASAMU)


Uwe makini kusoma lakini vitabu vyashule. Busara yako itakupeleka mbali tena pazuri na wazazi wako watafaidi sana!

Yasinta Ngonyani said...

Naamini sijachelewa.Hongera kwa siku yako ya kuzaliwa Akhram!!

SIMON KITURURU said...

Hongera Akhram!