Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Monday, 18 April 2011

Mziki unapokolea!!!!!!

Wapenzi  wa  Muziki umekolea. Wanaamua kutunza chochote!Ghafla unatunzwa Bastola je kama wewe utapokea au utakimbia?.Kivumbi na Jasho!!!!!!!!Karibuni Wote.

3 comments:

chib said...

Kama ni mimi nitaipokea, maana ukimuachia, yaelekea ze kick ipo kichwani anaweza kujifurahisha kwa kukutungua!!

Mija Shija Sayi said...

Daaaaah, mimi na muziki ungeishia hapo hapo, si mbio hizo mwanangu..

Swahili na Waswahili said...

@kaka Chib ze kick na ze bangi ikichanganya hapo hapatoshi!

@da Mija kwikwikwi unaweza kula mweleka wangu!

Duh mimi naona nitadondoka tuu maana nitaishiwa nguvu!!!

Nawewe je?