Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!
Showing posts with label michezoni. Show all posts
Showing posts with label michezoni. Show all posts

Friday 29 April 2011

Waswahili na Royal Wedding





















Wazazi/Walezi na Watoto wanaosoma Henley Green Primary School,Coventry,UK.Jana walijumuika pamoja na Walimu wao kwa Kusheherekea Royal Wedding.Wengi wao kama si wote waliokwenye picha hizi wanazungumza Kiswahili,Ni Waswahili wa Tanzani,Kenya,Burundi,Rwanda na Congo. kama uonavyo Kanga ,Vikoi,Mikeka vilitandikwa chini Waswahili wakajiachi.

Swahili na Waswahili inawatakia mapumziko mema na Ndoa njema kwa maharusi.

Wednesday 22 December 2010

Michezoni leo! Ni Farid mswahili wa Holland !!!!!!!!!!

Mswahili Farid  akiwachanganya wazungu!Nini kifanyike ili Tanzania tufikie malengo katika michezo?