tag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post8525859273198507805..comments2023-12-30T03:05:54.487+00:00Comments on Swahili na Waswahili.com: Tupo pamoja Wapendwa/Waungwana!!!Rachel Siwahttp://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-67025948856635711592014-01-24T20:05:30.166+00:002014-01-24T20:05:30.166+00:00Ameeeen!!
Asante sana mwana wa Mbogo bisikuti ,Uli...Ameeeen!!
Asante sana mwana wa Mbogo bisikuti ,Ulipotea mnoo,Nanyipia kheri ya mwaka mpya..
Ndiyo kaka Sam ILALA Ndiyo home,Ilala Sharifu/Shamba,Nimekulia huko.Wazazi walihamia miaka hiyo mpaka sasa bado kuna familia pale nyumbani,Lakini mama Rachel alihama.
Hivyo mitaa ya Amana,Magorofani,Bungoni na Vitongoji vyote si mgeni.

Nafikiri nimekujibu bisikuti...
Jee kuna mtu unanifananisha naye? Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-28662060089384461022014-01-22T11:36:30.239+00:002014-01-22T11:36:30.239+00:00Kwanza kheri ya mwaka mupya/mpya! Nilikuwa njiuliz...Kwanza kheri ya mwaka mupya/mpya! Nilikuwa njiulizaga/najiuliza! kulikoni bisikuti yangu,laaazizi nyonga mkalia ini, mama Rachel kapotea. nikweli maisha ni mikikimikiki. ila mungu ndo muweza wa yoote na ndiye rubani wa maisha yetu. haya karibu sana,je mwaka 72- 80 uliwahi kuishi Ilala amana magorofani? kaka s.sam mbogonoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-53475904847786279862014-01-20T20:50:23.035+00:002014-01-20T20:50:23.035+00:00Asante sana sana. .nami nilikumiss mnooo.Kadala wa...Asante sana sana. .nami nilikumiss mnooo.Kadala wa mimi.Pamoja sanaRachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-40044913934900292642014-01-20T11:43:08.874+00:002014-01-20T11:43:08.874+00:00Kachiki wewe.....yaani hapa nilikuwa mbioni kuoeke...Kachiki wewe.....yaani hapa nilikuwa mbioni kuoekeka tangozo polisi...namshukuru mungu mpo salama karibu saba tena kuwa nasi. Nimekumiss Kachiki wa mimi.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com