tag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post5551264146088585360..comments2023-12-30T03:05:54.487+00:00Comments on Swahili na Waswahili.com: Wanawake na Urembo!!!!!!!!Rachel Siwahttp://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comBlogger10125tag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-58718651866022072662011-12-02T16:46:38.256+00:002011-12-02T16:46:38.256+00:00Nimekupata kaka wa mimi,@ Upepo mwanana kwikwikwik...Nimekupata kaka wa mimi,@ Upepo mwanana kwikwikwikwi mbona unamcheka makaba shingo, si Uzuri mwingine shurti Udhurike!!!!!Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-38848223333573317142011-12-01T15:14:13.716+00:002011-12-01T15:14:13.716+00:00Huyo mkaba shingo ha ha haaHuyo mkaba shingo ha ha haaUpepo Mwananahttps://www.blogger.com/profile/00147423251313076731noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-83917451581541174692011-12-01T03:48:37.461+00:002011-12-01T03:48:37.461+00:00Kupendeza na kutisha labda ni mambo ya jicho lamtu...Kupendeza na kutisha labda ni mambo ya jicho lamtu tu!Na kama wajiamini umependeza jua kuna wengine watatakaoamini umependeza pia.Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-83629519827810093682011-11-30T19:59:33.691+00:002011-11-30T19:59:33.691+00:00Kaka Kitururu kutojiamini ndiyo kunapelea hivi ETi...Kaka Kitururu kutojiamini ndiyo kunapelea hivi ETi EEEHH,je waendelee au wasitishe?Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-32755021562158294312011-11-30T16:08:26.415+00:002011-11-30T16:08:26.415+00:00Ila wadada ni wazuri nyie!Wee acha tu!Tatizo tu l...Ila wadada ni wazuri nyie!Wee acha tu!Tatizo tu lipo kwenye kujiamini labda!:-(Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-885728043255352872011-11-30T15:34:07.165+00:002011-11-30T15:34:07.165+00:00Hahhahaha Nimekusoma Binti wa Ngonyani, hakika Mun...Hahhahaha Nimekusoma Binti wa Ngonyani, hakika Mungu hakukosea dada Yangu!!!Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-6005929625988611222011-11-30T14:19:37.000+00:002011-11-30T14:19:37.000+00:00Rachel! mimi naamini Mungu kaniumba urembo na kuji...Rachel! mimi naamini Mungu kaniumba urembo na kujiongezea urembo zaidi ni kujitafutia matatizo pia kumaliza pesa...Najua wengi watasema ni ubahili...na ni ruksa...Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-64653997009640179762011-11-30T14:06:48.446+00:002011-11-30T14:06:48.446+00:00hahhah Biashara haram ni nyingi kaka yangu Manyany...hahhah Biashara haram ni nyingi kaka yangu Manyanya!

sasa dada yangu Yasinta utaki kuwa Mrembo? tehtehtehRachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-48983145034637774902011-11-30T08:02:26.456+00:002011-11-30T08:02:26.456+00:00Kaaaazi kwelikweli...Mimi hapo hakuna urembo unaon...Kaaaazi kwelikweli...Mimi hapo hakuna urembo unaonifaa maana hata kupaka wanja siwezi...Halafu utakuta wengine wanaongezea kucha/kucha za bandia... kuweka karikiti ...sijui kusuka rasta/kimasai nako ni urembo? basi kama ni urembo nadhani itanibidi niache..LOLYasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-60656951537391130402011-11-28T19:53:23.070+00:002011-11-28T19:53:23.070+00:00Urembo oyeee!!!
Juu na urembo juu!!!
Hata hivyo ...Urembo oyeee!!!

Juu na urembo juu!!!

Hata hivyo aina zingine za urembo si zakuigwa na wake na binti zetu.

Mtu anayenenepesha matako yake (au sehemu yake ya siri akiwa dume) huyo hana nia ya kuishi siku nyingi au kulea familia. Amejiuza katika biashara ya uasherati.

Sasa nani asiejuwa biashara hiyo imo pamoja na madawa ya kulevya, uuzaji wawatu kama watumwa, mamluki na kuangushwa kwa serikali halali za watu na maovu mengine yenye njia za haraka ya kwendea kaburini?Goodman Manyanya Phirihttps://www.blogger.com/profile/15369122107376580214noreply@blogger.com