tag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post4838907110779955778..comments2023-12-30T03:05:54.487+00:00Comments on Swahili na Waswahili.com: Wanawake na Urembo;Ya kale ni Dhahabu!!!Burudani-Rangi ya Chungwa,Pamelah!!Rachel Siwahttp://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-27509681027223454082012-05-17T18:14:00.027+01:002012-05-17T18:14:00.027+01:00Asante sana Waungwana@da'Yasinta hhaha tnajiwe...Asante sana Waungwana@da'Yasinta hhaha tnajiwekea sumu.......burudika na Pamelah.

@da'Mija nitatafuta na kuweka, hapa sina mpk nyumbani.

@Anony: hahah tuwekee picha hapa jamani tufananishe,hahahah sande mwana Wesu!!.

@Ndugu wa mimi wewe kiboko naona hata Mashairi yanapanda!!Pamoja sana sana!!.

@Mtani hahahhaha uwiiiii, umesikia Ngorooo hiyoo,Jamani Jogoo utapata lakini Mchele mpk niagize Pawaga au Mbeya, kama Mahindi na Ulanzi nitatoa sasa hivi,

Karibu sana Mtani.Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-3119153847702985112012-05-17T17:23:41.593+01:002012-05-17T17:23:41.593+01:00Halafu wewe Kachiki Muke ya Mubena una kesi kubwa ...Halafu wewe Kachiki Muke ya Mubena una kesi kubwa sana, ili kumaliza hii kesi inabidi utafute jogoo mwenye manyoa ya rangi ya kijani na pishi moja la mchele!Mtaninoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-14732145692789612582012-05-15T07:31:19.727+01:002012-05-15T07:31:19.727+01:00Uzuri wa asili dhahabu.
Kuutunza kwake ni adhabu,
...Uzuri wa asili dhahabu.
Kuutunza kwake ni adhabu,
Umenenwa hata kwenye vitabu,
Kudumu kwake ni aghalabu.

Ni hayo ndugu wa mimi. Tupo pamojaemuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-66374961625761729822012-05-14T22:43:12.769+01:002012-05-14T22:43:12.769+01:00Nimeupenda uzuri wa asili jamani mweee, yaani uzu...Nimeupenda uzuri wa asili jamani mweee, yaani uzuri katurisisha wanae ngoja tujifagilie da Rachel hahaha alafu Mwenyezi Mungu kamjalia udongo mzuri mpaka leo ukiambiwa umri wake unajiuliza mara mbili mbili kweli?
Napicha zimenoga na zilipendwa kikwetu tunasema wakondiya (asandi)Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-11929768258222158082012-05-14T17:14:04.646+01:002012-05-14T17:14:04.646+01:00Natamani ungeweka na picha yake ya sasa... Pleeeee...Natamani ungeweka na picha yake ya sasa... Pleeeeeeeease kama unayo..Mija Shija Sayihttps://www.blogger.com/profile/01124823448880077425noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-53748368998142218522012-05-14T12:25:12.042+01:002012-05-14T12:25:12.042+01:00Safi sana mimi napenda sana kuwa hivyo labda nisem...Safi sana mimi napenda sana kuwa hivyo labda niseme mimi wa zamai nini? LOL Ila uwongo mbaya haya makolombwezo tuyatumiayo tunajiwekea sumu tu mwilini ...nimependa huuu wimbo wa Pamela Ahsante kwa zilipendwaYasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com