tag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post4069410168383822269..comments2023-12-30T03:05:54.487+00:00Comments on Swahili na Waswahili.com: Afya Na Jamii;TATIZO LA MIFUPA AU KUUMWA MIGUU/MAGOTI: OSTEOPOROSIS:Rachel Siwahttp://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comBlogger12125tag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-56350209355690465202019-08-26T12:00:11.597+01:002019-08-26T12:00:11.597+01:00naomba ushauri wenu mtoto wangu anaumwa magoti sa...naomba ushauri wenu mtoto wangu anaumwa magoti sana na visigino hadi kutembelea amebadilisha kutembea pia ana umri wa miaka 11 tu

Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/01618740078277521879noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-32347384295123228452019-07-22T09:22:47.357+01:002019-07-22T09:22:47.357+01:00Naomba msaada wenu,goti linauma hasa wakati wakuch...Naomba msaada wenu,goti linauma hasa wakati wakuchuchumaa na nikikaa chini kuinuka linuumaAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/03993323310222679767noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-9497299992669936622019-07-22T09:22:07.742+01:002019-07-22T09:22:07.742+01:00Naomba msaada wenu,goti linauma hasa wakati wakuch...Naomba msaada wenu,goti linauma hasa wakati wakuchuchumaa na nikikaa chini kuinuka linuumaAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/03993323310222679767noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-7664331190994830492019-06-16T13:27:09.742+01:002019-06-16T13:27:09.742+01:00Jamani naombeni msaada ,mwanangu anamwaka sasa ,lk...Jamani naombeni msaada ,mwanangu anamwaka sasa ,lkn mpaka sasa hakai,alafu shingo haiko imara sana,,nimeomba ushauri ,wakaniambia nitumie calcium, ambayo ndo nimeanza kutumia,je anaweza akawa na shida gani,maana mwonekano ana afya nzuri na hajawahi kuacha kuongeza kilo.
Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/09351619037138001891noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-52203877814560485052019-03-22T09:19:46.191+00:002019-03-22T09:19:46.191+00:00Kiukweli mm ninatatizo hilo nahitaji msaada
Kiukweli mm ninatatizo hilo nahitaji msaada
Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/06343984670586950970noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-27947692784634841262018-10-08T13:19:01.728+01:002018-10-08T13:19:01.728+01:00Habari? Mimi nipo Arusha. Nikihitaji huduma yenu n...Habari? Mimi nipo Arusha. Nikihitaji huduma yenu naweza kuwapata huku?

Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/03505277816344302286noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-82851907771990463162018-07-19T10:23:12.923+01:002018-07-19T10:23:12.923+01:00salama mpendwa,
pole sana ,
unaweza kuwasiliana na...salama mpendwa,
pole sana ,
unaweza kuwasiliana nao kupitia hizo namba hapo juu.

Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-64945109865058671612018-07-18T02:54:14.036+01:002018-07-18T02:54:14.036+01:00Habari zenu humu. Naomba msaada wenu miye nimekuwa...Habari zenu humu. Naomba msaada wenu miye nimekuwa nasumbuliwa na matatizo ya mifupa tangu mdogo.nikiambiwa na sickle cell.baadae nimekuja kupima tena na vipimo vyote vya matatizo ya mifupa naonekana sina kitu lakini silali vizuri kutembeya kwangu naumiya miguu magoti mgongo nishida kwangu naombeni ushauri wenu nini nifanyeAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/05840987843115074290noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-32808202077320366842017-08-10T07:54:23.072+01:002017-08-10T07:54:23.072+01:00pole sana si uhakika ni nini lakini jaribu kuvaa v...pole sana si uhakika ni nini lakini jaribu kuvaa viatu vyenye kisigino kidogo..
epuka kuvaa high heels na p
flat zili kama unakanyaga chini kabisa..Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-19115149738368098772016-12-09T12:43:01.504+00:002016-12-09T12:43:01.504+00:00Asante, lkn mimi nina miaka 31 na miguu inaniuma k...Asante, lkn mimi nina miaka 31 na miguu inaniuma kwenye kisigino, itakua ninini?Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/08337162904624742510noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-51577034493493073502013-08-20T22:17:30.271+01:002013-08-20T22:17:30.271+01:00Nikweli kabisa da'Ester.Karibu.Nikweli kabisa da'Ester.Karibu.Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-19236305634613530642013-08-20T21:55:27.487+01:002013-08-20T21:55:27.487+01:00Asante kwa elimu hii, afya njema na muhimu sana kw...Asante kwa elimu hii, afya njema na muhimu sana kwenye maisha yetuInterestedtipshttps://www.blogger.com/profile/02727400010351986238noreply@blogger.com