tag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post2052322282340281348..comments2023-12-30T03:05:54.487+00:00Comments on Swahili na Waswahili.com: Watoto naTV!!!!!!!!Rachel Siwahttp://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comBlogger12125tag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-82284399048771194132013-02-13T21:41:11.609+00:002013-02-13T21:41:11.609+00:00I visited multiple web pages but the audio quality...I visited multiple web pages but the audio quality for audio songs present at this web site is truly superb.

Feel free to visit my blog - hptAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-5677653778602802562013-01-11T11:00:41.078+00:002013-01-11T11:00:41.078+00:00Hey! Do you use Twitteг? I'd like to follow yo...Hey! Do you use Twitteг? I'd like to follow you if that would be okay. I'm undoubtedly enjoying your blog and look
forward to nеw poѕts.
Feel free to visit my website ; buy instagram followers realAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-59078101637984544522011-04-19T23:05:02.461+01:002011-04-19T23:05:02.461+01:00hahahahaa @da Mija wakina Manjula wapo wengi!!hahahahaa @da Mija wakina Manjula wapo wengi!!Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-28047392054557597062011-04-19T22:45:43.974+01:002011-04-19T22:45:43.974+01:00Miye leo sina neno, Rachel huu uchaguzi wako wa pi...Miye leo sina neno, Rachel huu uchaguzi wako wa picha umepitiliza kiwango...maana mimi kabla hata sijasoma ulichoandika nikajisemea manjula, manjula, Manjula....

Ila nakubaliana na wote waliopita.

Kazi nzuri.Mija Shija Sayihttps://www.blogger.com/profile/01124823448880077425noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-49133636850097478102011-04-17T13:40:51.953+01:002011-04-17T13:40:51.953+01:00Jamani sidhani kama ni ushamba, nadhani ni udadisi...Jamani sidhani kama ni ushamba, nadhani ni udadisi tu wa kutaka kujua mambo.EDNAhttps://www.blogger.com/profile/09635503380563352597noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-70469026829661809252011-04-15T21:22:09.023+01:002011-04-15T21:22:09.023+01:00Asante sana kaka Chib kwa ufafanuzi wako mzuri,kut...Asante sana kaka Chib kwa ufafanuzi wako mzuri,kutuelimisha na kutupa elimu, jinsi ya kugundua matatizo ya macho!.Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-51171405285947537242011-04-15T20:26:02.944+01:002011-04-15T20:26:02.944+01:00Najivuta kwangu zaidi....
Baadhi ya watoto kupenda...Najivuta kwangu zaidi....
Baadhi ya watoto kupenda kukaa karibu sana na TV inaweza kuwa hawataki watu wawe wanapita mbele yao na kuwakinga kuona TV.
Jambo lingine, wanaweza kuwa na matatizo ya kutokuona vizuri vitu vya mbali, ambapo wataalamu wanasema ati wana myopia au short sightedness. Kwa hiyo wakikaa karibu na TV ndio wanaona vizuri. Cha kufanya...Jaribu kumchunguza vizuri mtoto anapoangalia vitu anapendelea kukaa karibu navyo au la, pia waweza kumpa vitu vidogo sana kama punje ya mchanga na kumuambia aishike, ukiona anaikosa kosa, basi jaribu kumpeleka kwa wataalamu wa macho wamuangalie mapema. HE Jamani hapatoshi kueleza sababu zooote za watoto kukaa karibu na runinga! Weekend njema Mama S na Wchibhttps://www.blogger.com/profile/14601803334608365440noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-83283393530144090482011-04-15T20:14:24.886+01:002011-04-15T20:14:24.886+01:00Asanteni wapendwa wangu kwa ufafanuzi mzuri na wen...Asanteni wapendwa wangu kwa ufafanuzi mzuri na wenye kufundisha!

Nikweli tujitahidi kuwaelimisha wakae mbali.

kaka S na Upepo mwanana karibuni sana nimefuhi kuwaona!

Da Yasinta na kaka Kitururu watayarishieni japo chai wapendwa wetu,mimi leo siyo zamu yangu kupika, mimi leo ni kuosha vyombo!

hivi hii kitu ya zamu iliwakuta sijui!.

tuendelee kujifunza wewe je umamawazo gani?.Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-5553316274315587392011-04-15T20:01:08.625+01:002011-04-15T20:01:08.625+01:00Hakuna mionzi ya TV, Mimi nashauri wakae mbali kid...Hakuna mionzi ya TV, Mimi nashauri wakae mbali kidogoUpepo Mwananahttps://www.blogger.com/profile/00147423251313076731noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-42893802368126488942011-04-14T15:20:28.001+01:002011-04-14T15:20:28.001+01:00Nakubaliana na waliotangulia!Nakubaliana na waliotangulia!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-47697851299167077422011-04-14T13:50:04.678+01:002011-04-14T13:50:04.678+01:00HAKUNA KITU KINACHO ITWA USHAMBA MTOTO WA KIAFRIKA...HAKUNA KITU KINACHO ITWA USHAMBA MTOTO WA KIAFRIKA /KIZUNGU KUSOGELEA TV KARIBU.LAMUHIMU HAPA NI KUANGALIA MADHARA YA MTOTO AKISOGELEA TV KWA KARIBU SI NZURI.PIA KURUHUSU WATOTO KUANGALIA TV MARAKWAMARA INA ATHARI ZAKE.KITAALAM ZILE RANGI ZIBADILIKAPO KWENYE TV ZINA ATHALI KWA MTOTO KWANI KWA WAKATI HUO UBONGO WAKEKE AMA AKILI YAKE HAIKO TAYARI KUPAMBANUA KWA USASHIHI MABADILIKO HAYO YA RANGI KATIKA TV,HIVYO NIMUHIMU WAZAZI KUWA MAKINI NA JAMBO HILI KWA UJUMLA.TUSITUMIE TV KAMA NJIA YA KUMNYAMAZISHA MTOTO AU KUCHUKUA NAFASI YA KBEMBELEZEO. KAKA SAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-15932486933707345082011-04-13T21:52:17.031+01:002011-04-13T21:52:17.031+01:00Mimi nina maoni tafouti...watoto ni viumbe wadadis...Mimi nina maoni tafouti...watoto ni viumbe wadadisi sana. Waangaliapo TV wakati wamekaa kwenye mbali wanaona kama hawaoni sawasawa ndo hapo inakuwa sababu ya kuwa karibu ili kuona kwa ukaribu zaidi kama kwenye kitabu nk. Wanataka kuju hizo picha zinatoka wapi na mara nyingi nimewahi kuona watoto wakitaka kufungua TV au redio na kutaka kujua sauti na pia picha zipo sehemu gani. Kw hiyo huu si ushamba. Ila si vizuri sana kwa usalama wa macho.... huu ni mtazamo wangu ruksa kupinga....Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com