Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 14 September 2014

Worshiping YouGod is fighting for us, pushing back the darkness, - Deluge!!!!!!!


Wapendwa;Natumaini Jumapili hii inaendelea vyema,Iwe yenye Baraka,Amani,Upendo,Imani,Haki na Hekima.....

Kama vile Ibrahim alivyomwamini Mungu akahesabiwa haki....

Neno La Leo;Wagalatia;3:1-29
Fahamu basi,Ya kuwa  wale walio wa imani, hao ndio wana wa Ibrahimu....
"Swahili Na Waswahili" Pamoja Daima.

5 comments:

sam mbogo said...

Na wewe pia da Recho! roho yangu,biskuti yangu za siku.ujumbe na salaam muhimu sa na kwa waminio ulicho andika.Kunakitu nimekigundua ama kukiona katika maisha yetu ya sasa sijuwi ni mwisho wa dunia unakaribia au nimwamko wa watu kumrudia munguwao hasa watanzania.kwenye mitandao hukai dakika bila kusikia mlio wa nyimbo za dini katika simu za watu.Au ukimsalimia mtu jamaa ,rafiki utakutana na maneno haya ,mungu anasaidia,au mungumkubwa nk.zaidi ya yote kuna ulokole fulani upo mtu akiteteleka kidogo utasikia kaokoka au kaingia kwenye imanini fulani ya kumcha mungu mpaka una shangaa na kujiuliza hata yule japo ndo ukweli mtu huyo anakuwa amebadirika anakuwa mtu waimani kwelikweli,kiasikwamba najiuliza kulikoni . sijuwi kama nawenzangu mmeliona hilo. kaka s

Rachel siwa Isaac said...

Bisikuti yangu..Sisi wazima kabisa..ulipotea Sana...nimefurahi kukusoma tena..vipi wanangu na wifi huko?umesubiri mpaka wakati wa Nyama choma unapata sasa ndiyo unaonekana....nimekusoma vyema na kukuelewa..nikweli kabisa watu wengi wamekuja na hofu ya Mungu..midomoni Mwaohawapungukiwa na maneno ya kumtegemea Mungu....wamekuwa hawajifichi wala kuonea aibu Imani zao....Kwakweli Mungu yu mwema.Karibuni kwenye mkutano wa Mwalimu Mwakasege...natumaini tutakutana kifamilia pia. Asante Sana. Ndugu yangu..bisikuti ya Mimi.

emu-three said...

Nashukuru kwa ujumbe huo muhimu, haki, hekima, upendo, yaangalia haya maneno kwa undani utagundua ni vitu thamani kubwa. Tupo pamoja ndugu wa mimi

Yasinta Ngonyani said...

Kachiki wa mimi naamini sijachelewa..Imani ya bwana iwe nawe pia na familia....Umetokezea hapo:-)

Rachel siwa Isaac said...

Shukrani Sana ndugu wa mimi@emu-three...pamoja Daima . Kadala wa mimi asante Sana dadayangu kipenzi..Ameeeeen..