Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Thursday 11 September 2014

Jikoni Leo;How to cookUgali[Tanzania/Kenya]Sadza[Zimbabwe]Nshima[Zambia/Malawi]Pap[SouthAfrica]Fufu [West Africa].......

Waungwana;"Jikoni Leo" ni Ugali kwa sisi Waswahili tunaita hivyo..kila watu wanajina lao...kikubwa mlo!!!!!!
Nafikiri ni chakula kinacholiwa na Wa-Afrika/sehemu kubwa Afrika.. kama siyo wote...wapo wale wasioupenda tuu lakini wanaujua..hata kwetu wapo.
Kuna wanaosema Ugali wa Ng'ambo hauivi vizuri,haunogi.....,pia kuna wanaosema Ugali wa majiko haya ya Umeme,gesi na....haunogi/hauivi vyema....Ugali mtamu na kuiva vyema ule wakupikia Kuni,Mkaa...



to cook sadza

Mbira JunctionMbira Junction
Thanks

Pia watoto wengi wanaoishi Ng'ambo hawapendi Ugali..Sababu ni nini?

Je watoto wako wanapenda Ugali?


Pia watu wengine wanaoshi Ng'ambo wanapika Ugali mwingi na kuweka kwenye Fridge/ Freezer..ili akihitaji anapasha tuu..vipi hii wewe unaweza?

Ugali unamboga zake....
Ugali unaupishi wake...usiwe na mabuja,vidongevidonge...

Lakini kila kitu kisizidi,kikizidi hakinogi..basi si kila siku Ugali.

Asante;Tanzania na da'

 


Zimbabwe;Thanks


Tahanks;
AfricaCookingChannel

"Swahili Na Waswahili"Pamoja Daima.

4 comments:

emu-three said...

Mhh, ugali, naona Kenya wanaweka blue band, huku bongo ni kavu kavu, ugali ni unga kwa maji, unasongwa mpaka unalainika, na kuhakikisha hauna mabuje...ukuchungua tonge ukaweka kwa mchuzi..mmmmh, siku hiyo ni nguvu, na shibe. Tupo pamoja

Yasinta Ngonyani said...

Hata mie ndo kushangaa ugali na blue band?

Christian Bwaya said...

Ladha tofauti ya mapishi ya ugali. Nitajaribu na kuona inakuwaje. Kazi nzuri.

Rachel Siwa said...

Duhh Kenya nao ni wengine.sipati picha..siagi kwenye ugali..Asante Sana ndugu wa mimi@emu-three. Kadala mambo hayo hebu tujaribu siku moja....Pamoja Sana. @kaka Christian Bwaya ukijaribu nasikia utuambie kama unanogal...Asante Sana.