Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Tuesday, 12 August 2014

Pitapita ya Mswahili mitaani;Mtu Kwao.!!!!!!!Tulikutana na hili bango mitaani hapa UK,kuona Bendera ya Kwetu,"Tanzania" Tukavutiwa..
Nyumbani Kwetu ni Kuzuri,Watu wa Kwetu ni Wakarimu..Karibuni Tanzania Karibuni Mtwara. Mambo Ipo Huko!!!!!!!
"Swahili Na Waswahili"Pamoja Daima

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Halo inafurahisha na kupendeza ni kweli unajisikia nyumbani...Tanzania yetu.