Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Tuesday, 15 July 2014

Siku Kama Ya Leo da'Sandra-Neema Alizaliwa


 Wapendwa/Waungwana;Siku kama ya Leo ,1998.
 Familia ya Isaac,MUNGU alitubariki/Kutujaalia mtoto wa kike.
Sandra-Neema.Umekuwa na Endelea kuwa Baraka kwetu.

Tunamshukuru sana MUNGU kwa baraka hii na Tunazidi kumtukuza katika yote.
Tunayaweka Maisha ya Sandra-Neema mikononi mwake Mungu.

Azidi kukua Kiroho/Kiimani,Kimaadili,Kimo,Kimaarifa.
Azidi kuwa Baraka Kwetu sisi Wazazi naWalezi,Ndugu,Jamaa,Marafiki,Majirani,Wakubwa Kwa Watoto na Jamii Nzima.
Shukrani sana Kwa wote tunaoshirikiana katika Malezi,Maombi/Sala/Dua na Katika yote yanayochangia Maisha ya binti yetu.
Mungu Baba azidi kuwabariki na Kuwaonngezea kila lililo jema.


Hongera sana da'Sandra-Neema katika siku yako hii  Muhimu.
Hongera kwa kumaliza vyema GCSE's Na tunakitakia kila la heri katika A-Levels[Sixth Form].
Ukawe kichwa na si Mkia.
Tunakupenda Sana na Tunakuunga mkono katika Safari yako njema ya Maisha.
MUNGU ndiyo kila kitu katika Maisha yako.Ubarikiwe Mno!!!!

Happy birthday Sandra[se-Ndondole].Wako;Mama,Baba,Mdogo wako-Tracey-Sarah.[Isaac Family]
MUNGU wetu ni Mwema Sana."Swahili Na Waswahili" Rachel siwa, ninawapenda Wote.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hongera sana kwa siku yako dada Sandra-Neema.

Rachel siwa Isaac said...

Asante sana Ma'Mkubwa Yasinta/Kadala