Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 20 July 2014

Natumaini JumaPili inaendelea Vyema;Burudani-Swahilli Worship Songs!!!!!

Wapendwa;Natumaini Jumapili  inaendelea vyema,Iwe Yenye Imani,Tumaini,Baraka,Furaha na Amani....

Na wale waliotumwa waliporudi nyumbani,wakamkuta yule mtumwa ni mzima.

Neno La Leo;Luka Mtakatifu:7:1-10

Alipokwisha kuyamaliza maneno yake yote masikioni mwa watu,aliingia Kapernaumu......."Swahili Na Waswahili"Mbarikiwe Wote.

No comments: