Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 15 June 2014

Tumalizie JumaPili hii Kwa Baraka;Hongera Kina Baba Wote[Happy Father's Day];Burudani,John Lisu - Yu Hai Jehovah,Fungua Macho!!!!"Happy Father's Day" BABA wa Watoto Wangu ,BABA Yangu  Japo Hayupo Duniani/Ametangulia ,
Kina BABA woote mnaojua majukumu yenu kama BABA..Na Mnaotarajia kuwa BABA,Mnaopenda kuwa BABA Lakini bado labda kwa sababu moja au Nyingine....MUNGU Awabariki sana sana ,Awape kheri,Hekima,Busara,Amani Katika Malezi Yenu!!!!Wapendwa;Natumaini JumaPili hii InaendeleaVyema/Imekuwa Njema...Mbarikiwe Sana Wote..

Utabarikiwa mjini,Utabarikiwa na mashambani.Utabarikiwa uzao wa tumbo lako, Na uzao wa nchi yako,Na uzao wa wanyama wako wa mifugo,maongeo ya  ng'ombe wako,Na wadogo wa kondoo zako.......


Neno La Leo:Kumbukumbu la Torati;28:1-15.
[Baraka kwa Wanaotii]


Litabarikiwa kapu lako,Na chombo chako cha kukandia unga..........


"Swahili Na Waswahili" Mbarikiwe Sana.

No comments: