Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 8 June 2014

Natumaini JumaPili hii inaendelea Vyema;Burudani-Kinondoni Revival Choir,Ninakushukuru,Mtu wa Nne!!!!!!


Wapendwa Natumaini JumaPili inaendelea vyema....
Iwe yenye Imani,Tumaini,Kusifu/Kuabudu na Kushukuru....

Basi,mfalme Nebukadneza akashangaa,akainuka kwa haraka na kuwauliza washauri wake,"Je,hatukuwafunga watu watatu na kuwatupa motoni?Nao wakamjibu mfalme,"Naam,mfalme!Ndiyo!"


Neno La Leo;Kitabu Cha Danieli;3:1-30

Nebukadneza anasimamisha sanamu;1-7
Marafiki wa Danieli;8-18
Wenzake Danieli wanahukumiwa;19-25

Vijana wanaachwa huru;26-30

Kisha akauliza,"Lakini  sasa mbona ninaona watu wanne wakitembeatembea humo motoni bila kufungwa na wala hawadhuriki, na mtu wa  nne anaonekana kama  mwana wa MUNGU?""Swahili Na Waswahili" Mbarikiwe Wote.

No comments: