Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 30 March 2014

Nawatakia JumaPili Njema na Happy Mother's Day;Burudani kutoka -African Gospel.....[Mchanganyiko]!!!!!!!!


Happy Mother's Day to all mothers, may GOD bless you.
Natumaini Jumapili hii inaendelea vyema..

Lakini  yanenaje?Lile neno li karibu nawe, katika kinywa chako, na katika moyo wako; yaani, ni lile neno la imani tulihubirilo.

Neno La Leo;Warumi:10:5-15

Tena wahubirije, wasipopelekwa?kama ilivyoandikwa,Ni mizuri kama nini miguu yao wahubirio habari ya mema. 
"Swahili Na Waswahili" Mbarikiwe Sana

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Duh! KACHIKI. mara hii tena siku ya mama...hapa kwetu bado aise...Haya basi nachukua nafasi hii na kusema HONGERA SANA AKINA MAMA WOTE KWA SIKU HII.
nITAMWIMBIA BWANA KWA KUWA YEYE AMENIONA..KAWIMBO KATAMU ..MWEEE...jUMAPILI NJEMA SANA.

Rachel siwa Isaac said...

Asante sana KADALA..Siku zimeenda wangu,sisi ndiyo hiyo..

Haleluyahhh nimefurahi kama BWANA AMEKUONA dada wa mimi...Ubarikiwe nawe na watu wangu hapo nyumbani.

Mingi Love.