Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Monday 20 January 2014

Tupo pamoja Wapendwa/Waungwana!!!


Nimatumaini yangu wote hamjambo.Samahani niliadimika/potea kidogo, Ni mbio za hapa na pale katika maisha, Pamoja na yote Tupo salama kabisa na niliwakumbuka Sanaa.Tupo pamoja tena Waungwana, Asanteni.                                                                         Swahili na Waswahili Pamoja Daima.

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kachiki wewe.....yaani hapa nilikuwa mbioni kuoekeka tangozo polisi...namshukuru mungu mpo salama karibu saba tena kuwa nasi. Nimekumiss Kachiki wa mimi.

Rachel Siwa said...

Asante sana sana. .nami nilikumiss mnooo.Kadala wa mimi.Pamoja sana

sam mbogo said...

Kwanza kheri ya mwaka mupya/mpya! Nilikuwa njiulizaga/najiuliza! kulikoni bisikuti yangu,laaazizi nyonga mkalia ini, mama Rachel kapotea. nikweli maisha ni mikikimikiki. ila mungu ndo muweza wa yoote na ndiye rubani wa maisha yetu. haya karibu sana,je mwaka 72- 80 uliwahi kuishi Ilala amana magorofani? kaka s.

Rachel Siwa said...

Ameeeen!!
Asante sana mwana wa Mbogo bisikuti ,Ulipotea mnoo,Nanyipia kheri ya mwaka mpya..
Ndiyo kaka Sam ILALA Ndiyo home,Ilala Sharifu/Shamba,Nimekulia huko.Wazazi walihamia miaka hiyo mpaka sasa bado kuna familia pale nyumbani,Lakini mama Rachel alihama.
Hivyo mitaa ya Amana,Magorofani,Bungoni na Vitongoji vyote si mgeni.

Nafikiri nimekujibu bisikuti...
Jee kuna mtu unanifananisha naye?