Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Thursday, 26 September 2013

Wanawake Na Mitindo Ya Nywele;Box Braids!!!Waungwana;Wanawake Na Mitindo, Hii mitindo sasa inaenda na Inarudi..Lakini haiishi hamu,Zaidi Style za Ubanaji zinaongezeka..haya ukibinua kushoto/kulia Juu/Chini inakwenda tuu na inapendeza sana.

Unakumbuka mitindo/misuko hii ya Rasta ilianza lini?
Jee wewe unaipenda? na jee inampendeza kila mtu au inaendena na sura ya mtu.. Nyembaba/Ndefu.Pana/Mviringo?
Vipi hii Mitindo inaendena na Umri?

Mwanamke Kupendeza na Kuiga sawa/kupo, Lakini tusivuke Mipaka.
Karibuni Wote Kwa Maoni/Mawazo, Ushauri,Tuelimishane kwa Upendo.

Kwa Mitindo Zaidi ingia;http://www.mitindoafrica-abroad.blogspot.com/

"Swahili Na Waswahili" Pamoja Sana

1 comment:

emu-three said...

Kuna wanaume wanasuka, na yenyewe ina mitindo yake, ...mmh, sasa kusuka, kuvaa hereni, tunasubiri kuvaa gauni