Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Friday, 20 September 2013

Lina's[ma'Nicole] Baby Shower -Coventry!!!


Mwenyewe da'Lina


Lina[mama Nicole na Nicole]
                                 dadazzz na mtoto

              Ndugu,Jamaa,Marafiki......Chakula


Mapoziii...
Muzikiiiiiiiii....Baby Shower ya Da'Lina[Mama Nicole] Iliyo fanyika Covenrty,UK.
Iliunganisha watu/Wanawake kutoka miji mingine hapa U.K.
Da'Lina Wanawake wa Coventry na wenzao kuotka sehemu mbalimbali wanakutakia kila lililo jema katika Safari yako,MUNGU azidi kukubariki,kukusimamia katika Yote.
Hongera sana na kila la kheri."Swahili NA Waswahili" Pamoja Daima.


1 comment:

Anonymous said...

All the best mama Nicole