Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Saturday, 27 July 2013

Siku kama yaLeo Tulifunga Ndoa-[Happy Anniversary]!!!!Tuliamua kufanya kazi za jamii.

Bibi Na Bwana tukielekea kuungana na Wapendwa katika kazi jamii/kujitolea 

Mama Mchungaji na mimi Tukifurahia mambo yanavyokwenda sawa..

Tukisaidiana kuweka mambo vyema


Dada huyu yeye ni mbunifu wa vitu vya Asili,Mikufu,Bangili,Hareni na vinginevyo..
MUNGU amemjalia kazi za mikono yake..basi hutoa kwake/kurudishia yeye pia.
Kulikuwa na Michezo,Zawadi mbalimbali

Hii ndiyo Shughuli kubwa tuliyoiendea..Na pesa zote zilizopatikana..zilipelekwa huko.Wapo waliotoa Pesa,Muda,Vipaji na Mengine meengi ili tuu Jambo tulilokusudia lifanyike..na Lilifanyika kwa uwezo wake MUNGU. Kuna Mengi ya kujifunza/Tumejifunza,Kufundisha watoto wetu.


Mchungaji na Mama Mchungaji Waliwashukuru Watu wote kwa kufanikisha jambo hili


Hahahahahha maneno ya Mchungaji Rachel nimepoziii...


         Wapendwa/Waungwana Bibi na Bwana Isaac;Siku kama ya Leo tuliungana pamoja Kuwa Mwili Mmoja.
Tunamshukuru sana MUNGU kwa kutufikisha hapa.Pasipo yeye sisi si kitu.Azidi kuongoza katika safari yetu.

Shukrani Familia zetu,Ndugu,Jamaa na Marafiki katika Yote.
Shukrani Hebron Church

Kwapicha za watoto na Michezo,Tukutane;http://Watotonajamii.blogspot.com

"Swahili NA Waswahili" Tunawapenda wote.
  

6 comments:

Anonymous said...

Hongera dada wa mimi kwa kutimiza miaka 17ya ndoa yako na kwa kuitoa siku ya leo kufanya kazi ya jamii/ya Mungu bwana wetu Yesu awatangulie kwakila jambo na ndoa yenu idumu daima sisi penda nyinyi sana

Yasinta Ngonyani said...

Halo Kachiki HONGERA SANA KWA SIKU HII MLIYOUNGANA NA KUWA MWILI MMOJA. Na HONGERA kwa kujitolea kwa kazi ja jamia Mwenyezi Mungu na awabari ili muweze kutimiza miaka mingine zaidi kama mliyotimiza leo.

EDNA said...

Hongereni sana kwa kudumu katika ndoa, Mungu na awatangulie. MUBARIKIWE SANAAAA.

Rachel siwa Isaac said...

AMEEEEN!! AMEEEE!! AMEEN!!..Na Asanteni sana wapendwa MUNGU na Atubariki Soote...

Mdogo Wa Mimi sisi pia penda nyie mnoo..

KADALA wa mimi mwaah..

Mwanakwetu wewe mimi chapa wewee..kwanini unapotea hivyo? yaani mpaka umalize Mkunungu wooote?..
Mingi Love masalimie kaka yangu.

Mija Shija Sayi said...

Na Mungu azidi kuwa na familia yenu daima milele..

Hongereni saaaaaaaana!!

Rachel siwa Isaac said...

Amen!Amen!Ameen!1..Asante sana dadake@Mija.