Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 7 July 2013

Nawatakia J'Pili njema na yenye Furaha;Burudani -Sifa Voices,Enda Nasi na Nyingine!!!!!!


Wapendwa Muwe na J'Pili njema yenye Furaha,Amani,Rehema,Wema na Hekima....
N'nani aliye na hekima na ufahamu kwenu? Na aonyeshe kazi zake kwa mwenendo wake mzuri, katika upole  wa hekima...

Neno La Leo:Waraka wa Yakobo;3:10-18..Na tunda la haki hupandwa katika amani na wale wafanyao amani.

"Swahili Na Waswahili"Mungu Atubariki Sote.

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Nawe pia pamoja na famili nzima na pia yeyote atakayepita hapa.

Rachel siwa Isaac said...

Ameen. .

emu-three said...

Ndugu wa mimi upo, kimiya kingi kina mshindo,upo pouwa?

Rachel siwa Isaac said...

Ndugu wa mimi. . Nipo poa.. mbio zimenizidi tuu.
Asante sana kwa kunitafuta.. Ramadhan njema. .