Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 2 June 2013

Tumalizie J'Pili hii kwa Amani na Kusifu!!!!

Wapendwa;Tumalizie J'Pili hii kwa Amani na Utukufu tumrudishie MUNGU..Ee BWANA,Kutukuza usitutukuze sisi,Bali ulitukuze jina lako,kwa ajili ya fadhili zako,kwa ajili ya uaminifu wako.

Neno La Leo;Zaburi:115:1-18. [17]Siyo wafu wamsifio BWANA,Wala wowote washukao kwenye kimya[18]Bali sisi tutamhimidi BWANA,Tangu leo na hata milele.

   "Swahili NA Waswahili"Mbarikiwe Sana.2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Nawe pia kachiki na familia..Ahsante

MTU KWAO said...

UKWELI ULIPENDEZA JAPO UMEWABOA WANA YANGA MIMI SI MMOJA LA ILA MIMI NI MWANA MICHEZO HATA HIVYO ULIPENDEZA KUPITA ZAIDI
TUPO PAMOJA
MTU KWAO