Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 16 June 2013

Nimatumaini yangu J'Pili imekwenda/Inakwenda vyema;Honngereni Wa BABA wote mnaojua Majukumu Yenu!!!!Natumaini mmekuwa/Mnaendelea   na J'Pili Yenye Baraka,Upendo,Amani,Furaha na Tumaini..
MUNGU akamwambia Ibrahimu,Sarai mkeo,hutamwita jina lake Sarai, kwa kuwa jijna lake litakuwa SARA.

Neno La Leo;Mwanzo:17:15-22.Bali agano langu nitalifanya imara kwa Isaka,ambaye  Sara atakuzalia majira kama haya mwaka ujao...

Hongereni Kina BABA Wote...Nawe usiyekuwa na mtoto na unapenda/hitaji kuitwa/kuwa na Watoto MUNGU Hajakuacha/kukusahau..Usikate Tamaa Soma hili Neno Uone Abrahamu MUNGU alimtendea....


Wakati wa Home work..hapa hakijaeleweka..

Hapa kuna matumaini....


Hapa urafiki..
Kutembea tembea baada ya yote!!!!!"Swahili NA Waswahili" MUNGU Awabariki 

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Alo inapendeza sana naanza kujiuliza kama nilikuwa rafiki na babangu...Mungu awabariki!!

EDNA said...

Hongera chemeji kwa kuwa baba mwema

Rachel siwa Isaac said...

Asanteni sana..Mwanakwetu ulipote sana..

Kadala kwanini unawaza kama ulikuwa rafiki wa baba?
Alikuwa makali,Mila,Heshima au woga?