Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 23 June 2013

NawatakiaJ'Pili Njema Yenye Amani;Burudani-Bahati BukukuWapendwa ;Muwe na J'Pili yenye Baraka,Amani,Upendo na Shukrani....
Maandalio ya moyo ni ya mwanandamu;Bali jawabu la ulimi hutoka kwa BWANA.Njia zote za mtu ni safi machoni pake mwenyewe;Bali BWANA huzipima roho za watu......

Neno La Leo;Mithali:16:1-20;[3]Mkabidhi BWANA kazi zako,Na mawazo yako yatathibitika....

"Swahili NA Waswahili" Nawapenda Wote.

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Nawe pia natumaini imekuwa njema sana na yenye amani na upendo. Na unapendqa pia.