Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Monday, 10 June 2013

Coventry Women Gala ya Tar;08/06/2013-Mgeni;Mama Balozi Joyce Kallage;[Sehemu ya 1]!!!!

Waungwana;CoventryWomen Gala ya safarihii tulikuwa na Mama Balozi JOYCE KALLAGE.
Ameongelea nini Yeye pamoja na Wageni wengine?Usihofu nitakufahamisha..kwa leo Angalia Picha Kwanza. 
[TEAM MAMA BALOZI] 

Mama na Wanamitindo

Mama na Mbunifu wetu da'Mija na da'Halima[Maonyesho ya Mavazi yote ni kazi ya mikono ya Da'Mija!!]
  Mama Balozi Joyce Kallage hayuko nyuma kwenye MITINDO!!!!!
  Nasi tuliungana na wanamitindo kuonyesha Umoja....


  Wanamitindo wakipoziiii..
 

  Da'Rose Kiondo kutoka Ubalozini alikuwa na mengi ya kutuambia..nitakujulisha..


 Wamama wa Coventry na mama Balozi Joyce
  Asante sana mama yetu kwa Ukarimu na kuungana nasi....da'Stella alituwakilisha na kumkabidhi maua kama ishara ya Upendo wetu kwake..


   Mitindo ni kazi ya Mbinifu wetu hapa Coventry..Mwanamke wa Shoka...Da'Mija!!!

 Tulicheza saaaana..

   Itaendelea.....

    "Swahili Na Waswahili" Raha Tupu.

3 comments:

Mija Shija Sayi said...

Yaani...

emu-three said...

Tupo pamoja ndugu wa mimi, maana umetufanya tujione kama tulikuwepo

Anonymous said...

Mbona mliwasha moto wa gesi!!!! Hadi dada Esta aliinuka kucheza!!! Si mchezo