Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Friday 17 May 2013

Kuelekea Siku Ya Mtoto wa Afrika;Tujivunie Kuwa Wa-AFRIKA Jee Umejiandaaje?










Waungwana,Wazazi/Walezi,Watoto..Mmejiandaaje na Siku ya Mtoto wa AFRIKA?
ni Siku yetu na kujifunza zaidi mambo Yetu na Watoto Wetu,Jamii Yetu na Wasio Wa Afrika kujua AFRIKA...Kukumbuka/Kuenzi Mema/Mazuri ya Kwetu,Kujivunia Kuwa Wa AFRIKA na Mengine meengi.....
Mimi ninakakitu kidogo cha Kufanya Mwaka Huu na Watoto kama nikipata Muda mzuri na Uwezo kidogo..Nia Yangu nilipenda kufanya  kwa Familia..Yaani  Wazazi/Walezi na Watoto.Tukacheza,Kula na Kukumbukia Enzi zetu na Michezo Yetu na Watoto  wa Leo kujifunza kupitia sisi na Sisi Kujifunza Kupitia ya Kwao/Sasa.

Kama Ungependa Kuniunga mkono/Kuungana nami katika Hili, Usisite Kuwasiliana Nami.
Email;rasca@hotmail.co.uk.Mob;[+44] 0750 44 100 40. kwa sms/WhatsApp.

Pia Karibuni kwa Maoni,Ushauri na Kuelimishana kwa Upendo.

Asanteni na Karibuni Tuungane Pamoja.

                      Pata Burudani;
                      Freedom is coming Tomorro na Video ya SARAFINA...mimi bado naipenda sana Wewe Jee?

2 comments:

emuthree said...

Malezi jamani, ujamaa, (communialism) ilikuwa na ubaya gani, maana mtoto alikuwa mtoto wa jamii, mali zilikuwa mali za jamii,sasa hivi...duuuh,...najiuliza kwa saana, kwanini hatpendani!

Rachel Siwa said...

Umenena ndugu wa mimi.leo hii kumkanya mtoto wa mwenzio anaweza kukutukana/kukuchumbua kama karanga!!!