Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Friday, 5 April 2013

Mswahili Wetu Leo;Joseph Mfugale- Toka fundi seremala mpaka kumiliki Peacock Hotel!!!!!!!

I

Waungwana,Safari ya Maisha ni ndefu sana..Kuna Mabonde na Milima..Kuna Shida na Raha..
Hebu Leo Tumsikilize mzee MFUGALE.

Jee kuna lolote umejifunza?

Shukrani;PAUL MASHAURI

"Swahili NA Waswahili" Pamoja Sana.1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

ni kweli ni mfano wa kuigwa..ila wengi wanafikiri ni kufanikiwa tu wanakata tamaa mapema.