Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Saturday, 2 March 2013

Chaguo La Mswahili Leo-Wenge Musica BCBG - Djodjo Ngonda na Nyingine Nyingii!!!!

Nani alikuambia Afrika si Wabunifu?
Waungwana maneno meengi sinaaa..Mmmhhhh...Kitambo kidogo..walikugusa/Kuwapenda?Jee Bado wapo Juu? Nini /Wapi unakumbuka ukisikiliza Nyimbo hizi?..

Mimi ninawakumbuka watu wengi saana wengine wapo Hai na wengine washatangulia[Kufa].Wengine ninamawasiliano nao Wengine hata sijui wako wapi...Yote ni Maisha.......
Twende Sote sasaaa.......


"Swahili NA Waswahili" Pamoja Daima.

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

ya kale ni dhahabu..ahsante kwa kutukumbusha..Jumapili njema sana KACHIKI pamoja na familia na pia wote wataopita hapa.