Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 24 February 2013

Natumaini mmekuwa na J'Pili Njema;Burudani- kutoka Makanisa tofauti,Iringa Tanzania na Nje ya Nchi!!!!!!

Wapendwa;Natumaini J'Pili imekwenda vyema...Tumalize siku na Makanisa Mbalimbali waumini wakisifu na kuabudu....

Nawatakia kila lililojema na Baraka......
Kwa ajili ya Sayuni sitanyamaza, na kwa ajili ya Yerusalemu sitatulia, hata haki yake  itakapotokea kama mwangaza, na wokovu wake kama taa iwakayo.
Nneno la Leo:ISAYA:62:1-5;Maana kama vile kijana amwoavyo mwanamwali,ndivyo wana wako watakavyo kuoa wewe; na kama vile bwana arusi amfurahiavyo bibi arusi,  ndivyo MUNGU wako atakavyo kufurahia wewe.

"Swahili NA Waswahili"  Muwe na Wakati Mwema.


4 comments:

EDNA said...

Jamani umependeza hadi raha. Ila unirudishie handbag yangu,yaani toka nimekuazima umefanya yako mweee.Hahaaaa...siku njema mwanakwetu.

Rachel siwa Isaac said...

Asante sana Mwanakwetu....hahaha yaani nitarudisha hivi karibuni ili siku nyingine usininyime...lakini Nimebebea Misasati,Mitoo,Mikusu..mwehhh..

Ubarikiwe sana na salimia mutu yangu hapo nyumbani.

Yasinta Ngonyani said...

Kweli umependeza mpaka raha ..nakuonea wivu umevaa sketi na hivyo viatu...raha kweli hapa baridi bado huwezi kuvaa hivyo..Nimechelewa kiduchu nlikuwa naumwa jicho kwa hiyo sikuweza kuona..Nahisi jumapili yako ilikuwa njema

Rachel siwa Isaac said...

Asante sana da'Yasinta..Tunamshukuru MUNGU na ilipita vyema...

Pole sana KADALA MUNGU na akuponye!!