Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Saturday, 2 February 2013

Chaguo La Mswahili Leo;Mchanganyiko-BOZI BOZIANA,Franco&Sam Mangwana,Madilu...Mmmhh..Mooto!!!!!
Waungwana;Chaguo La Mswahili Leo..Mhhhhh...motoo.mambo mchanganyiko.ya Kitambo kidogo....

Vipi hizi zinakukumbusha nini/wapi?.Zina kubamba/kuzipenda? Au hukupata kuzisikia?...

Twende sote sasaa.....Balobakiee..na Imalobato lembiyeeeh........kusemasema walisema tumechokaaa..Muongo na mulozi ni watu wa kuchomaaaah.......
Kujulikana kumbetabu mwana mbokaaa... Ukiwa shantii  kama Mushedo wanashangaaaa....ukitembea peke yako wanasema wewe ndiyo mbayaaaa....Kujulikana kuna mamboooo....Lwambo wetu Franco wandugu eeehhhh.......

Rafiki yake ananiaeeehh...wewe Mangwana ee...usiwafuate endelea jamani eehh...Ukipata Tabu omba kwa MUNGU eeeehhh Alafu MUNGU pekee  yeye Milele na Milele eeehhh........

Wewe na mimi kisa gani ayaahh Ndugu nimekosea nini Angalia  Makambooo eee....kama kuna mambo unielezee Taratibuuu eeehh kukorofisha mbele ya watu sitakieeeeehh sikia eeeeehhh.........

"Swahili NA Waswahili"Pamoja sana.

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Yaani hapa ndi penyewe nimetimka hapa mpaka jasho ni libaridi hili we acha tu..Ahsante kachiki

Anonymous said...

mwe mwe mwe waukaeeee yaani umenikumbusha jamani na nimeupenda zaidi dada baada ya matafsiri, asandi wa ukaeeeeeeee

Rachel siwa Isaac said...

Hahahaaha Asante KADALA...shushia na tongwa.....

hahahaha waukaee...Nimetafsiriii...Oiiiiiii