Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 27 January 2013

Natumai mlikuwa na J'Pili yenye Kupendeza;Burudani-Bahati Bukuku-Dunia,Samehe!!!!!!!!!
Wapendwa natumaini mlikuwa na J'Pili yenye kupendeza.....

Tumalize J'Pili hii kwa.....Neno La Leo;Wakolosai;3:18-25;

[18]Ninyi wake,watiini waume zenu,kama ipendezavyo katika BWANA.

[19]Ninyi waume,wapendeni wake zenu msiwe na uchungu nao.

[20]Ninyi watoto,watiini wazazi wenu katika mambo yote;Maana jambo hili lapendeza katika BWANA

[21]Ninyi akina baba msiwachokoze watoto wenu,wasije wakakata tamaa......Endelea....


"Swahili NA Waswahili" MUNGU awabariki Saana.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante naona j´pili hii ilikuwa jumapili ya kusamehe maana kama vile tuliambizana si umeona hapo kwangu...Ni furaha kuona wewe pia ulikuwa na j2 njema yenye burudani...

Anonymous said...

AHSANTE SANA MPENDWA WA MIMI JAMANI KWELI JUMAPILI ILI KUWA NJEMA NA HIZI NYIMBO ZIMENIBARIKI SANA YAANI YESU AKISHA PUKUTISHA MAKAPI NA UKISAMEHE MKONO WAKE LAZIMA UTAUONA